VIDEO: HEMEDI PHD AZUNGUMZIA SUALA LA YEYE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

Baada ya hivi karibuni kusambaa kwa post kwenye mitandao ya kijamii ikitaja baadhi ya wasanii wa Bongo wanaotumia dawa za kulevya, miongoni mwa wasanii waliotajwa ni pamoja na Hemedy Suleiman.
Hemedy Suleiman
Lindiyetu.com  ikoana sio kesi kufanya interview na Hemedy Suleiman azungumzie madai hayo.

"Nilipoiona hiyo post nilicheka kwa sababu mimi naujua ukweli, ila nilimfikiria zaidi mama yangu mzazi akisikia hizo habari itakuaje, na kweli alinipigia huku amepanic lakini ukweli ni kwamba mimi si mtumiaji wa dawa za kulevya" ameeleza Hemedi katika Maelezo yake.

Full Interview hii hapa Chini Bofya Play.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post