Kwa mara ya kwanza show kubwa inayohusisha wasanii wa Afrika (ONE AFRICA MUSIC FEST) kwenye ukumbi wa Barclays Centre nchini Marekani imefanyika jana.
Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Diamond, Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour na wengine.
Fahari Ya Kusini
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.