NIJUZE NIJUZE Author
Title: NEWS ALERT: SERIKALI YAFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA LEO HII
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatangaza Makatibu Tawa...
Angellah J. Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatangaza Makatibu Tawala wa Wilaya wateule katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Raisi - Utumishi - jijini Dar es salaam leo jioni. Kulia ni Katibu mkuu wa Utumishi Dkt. Laurian Ndumbalo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top