NIJUZE NIJUZE Author
Title: NAY WA MITEGO ATOKWA NA POVU HILI HUKO INSTAGRAM, SABABU ZIKO HAPA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amewaambia mashabiki wake kuwa atawakumbuka sana baada ya hapo jana Baraza la Sanaa la Taifa, ...
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amewaambia mashabiki wake kuwa atawakumbuka sana baada ya hapo jana Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA kutangaza kumfungia msanii huyo kwa muda usiojulikana.
Nay wa Mitego
Rapper huyo amekutana na rungu hilo la kufungiwa baada ya kuachia wimbo ‘Pale Kati’ ambao mashairi yake yameonekana kukosa maadili na pia msanii huyo hajasajiliwa na baraza hilo la sanaa.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Nay ameandika, “Daaaaah..!! Nitazimiss sana hizi Show..!! 
#PaleKati .”
“Paka akitoka, Panya hutawala..!! Sasa akirudi watatafuta pakujificha ni kuwatafuna tu!! 🏃🏿🏃🏿#PaleKati,” ameandika kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao huo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top