NIJUZE NIJUZE Author
Title: EXCLUSIVE: WEMA SEPETU KAONGEA HILI BAADA YA DIAMOND KUMPOST INSTAGRAM
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Wema na ameyasema haya ‘Watu wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia followers hasa kwenye mitandao yao kwasababu mtu anaweza akatok...
WEMA SEPETU
Wema na ameyasema haya ‘Watu wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia followers hasa kwenye mitandao yao kwasababu mtu anaweza akatokea sehemu yoyote na kuanza kunitukana mimi au kumtukana Naseeb akajipatia followers wa kutosha, kuna muda mimi nilikuwa naogopa kuimba wimbo wa Diamond unapopigwa naogopa hata kucheza’

‘Nikisikia nyimbo za Naseeb siwezi kuimba inanibidi nikaze lakini mwisho wa siku najikomoa mimi mwenyewe nikikaa kwenye gari nitaimba kama utakuwa unakumbuka nilivyoimba mara ya kwanza watu wakashangaa wakawa wanajiuliza maswali mengi sana, kwasasa hatuko kwenye mapenzi lakini tunasaidiana kazi kuonesha uzalendo’

SIKILIZA AUDIO HAPA CHINI AKIFUNGUKA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top