Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Mushingi, akikabidhi hundi ya shilingi milioni 5 kwa kaimu mkuu wa Mkoa wa Lindi Shaibu Ndemanga kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa shule ya Sekondari Lindi.
Mkurugenzi Mtendaji huyo amesema wao kama taasisi ya kifedha ambao wanajali kushilikiana na watanaznia wameguswa na tukio hilo la kuungua kwa moto kwa shule ya sekondari Lindi na wakaona umuhimu wa kuchangia shilingi milioni tano.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.