Wiki hii Baraka da Prince alipata scandal nzito, baada ya page moja ya Instagram inayotumia jina la Kaoge kumtaja msanii huyo kuwa anadaiwa mtonyo flani na katika kumkwepa mdaiwa wake ameamua kumblock Kaoge.
Baraka da Prince na Naj (Mpenzi wake)
Account hiyo ikazidi kudai kuwa itafichua msg zote walizowahi kuandikiana na Baraka da Prince.
Baada ya Kimbembe hicho Baraka da Prince ameamua kuchukua hatua hizi hapa Msikilize kwenye Audio hapo chini.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.