NIJUZE NIJUZE Author
Title: DIAMOND AITAMBULISHA RASMI LABEL YA WCB PAMOJA NA KUMSAINISHA RICH MAVOKO (+Video)
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz Ijumaa hii ameitambulisha rasmi label yake ya ‘WCB’ pamoja na kumsaini Rich Mavoko mbele ya waandishi wa habari. Ri...
Diamond Platnumz Ijumaa hii ameitambulisha rasmi label yake ya ‘WCB’ pamoja na kumsaini Rich Mavoko mbele ya waandishi wa habari.
Rich Mavoko
Rich Mavoko akisaini mbele ya Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Taifa, Godfrey Mngereza

Aidha, Diamond alimtambulisha dada yake, Queen Darleen kuwa mmoja kati ya wasanii wapya wa label hiyo.

Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Taifa, Godfrey Mngereza ambaye alizungumza na kumpongeza Diamond huku akiwataka wasanii wengine kushirikiana kwa namna hiyo.

Rich Mavoko

Diamond na Mavoko wakibadilishana mkataba
A video posted by Hamisi Taletale (@babutale) on

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top