Sepp Blatter na Michel Platini wote wamesimamishwa kazi zao kwa muda wa siku 90 kufanya shughuli yoyote inayohusiana na soka.

Pia katibu mkuu wa FIFA Jerome Valcke pia amepigwa marufuku kwa muda wa siku 90 hiyo inamaana watu watatu wenye nguvu zaidi duniani katika soka sasa wote wamesimamishwa ilikupisha uchunguzi unaofyanywa na kamati ya maadili ya FIFA kuendelea.
Tags
SPORTS NEWS