Unknown Unknown Author
Title: MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA MKOANI TABORA, TAZAMA PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akilakiwa kwa shangwe ...
Kampeni UKAWA, 2015
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akilakiwa kwa shangwe na wananchi wa mji wa Tabora, wakati akipita kuelekea jukwaa kuu, wakati wa Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Septemba 5, 2015.
Kampeni UKAWA, 2015

Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Septemba 5, 2015.
Kampeni UKAWA, 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, wakati wakitoka kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, Mjini Tabora Septemba 5, 2015.
Kampeni UKAWA, 2015
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mke wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Town School, kuhudhulia Mkutano wa Kampeni, Septemba 5, 2015.
Kampeni UKAWA, 2015
Umati wa wananchi wa Mji wa Tabora ukiwa kwenye Mkutano huo.
Kampeni UKAWA, 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015.
Kampeni UKAWA, 2015
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Tabora.
Kampeni UKAWA, 2015
"Mabadilikooooooo......"
Kampeni UKAWA, 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia na kunadi sera zake kwa wananchi wa Mji wa Tabora, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika Septemba 5, 2015.
Kampeni UKAWA, 2015
CREDIT : OTHMAN MICHUZI

About Author

Advertisement

 
Top