Unknown Unknown Author
Title: WIZARA YA NISHATI NA MADINI YASHIRIKI SHEREHE ZA KILIMO NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Wataalam kutoka wizara ya nishati na madini wakiwa katika Banda la Maonyesho ya Kilimo Nane nane katika viwanja vya Ngongo Mk...
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi
Pichani ni Wataalam kutoka wizara ya nishati na madini wakiwa katika Banda la Maonyesho ya Kilimo Nane nane katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi
Hili ni moja la Banda la Wizara ya Nishati na Madini katika kitengo cha Mafuta (TPDC) unashauriwa ndugu mwananchi kutembelea banda hili Uweze kufaidika na kupata Elimu ya Mafuta na Gasi 
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi
Kutoka Kushoto ni Ndugu Augustino Kasale ambaye ni Afisa Uhusiano wa TPDC akiwa sambamba na Yusufu Risasi ambaye naye ni Mhandisi wa Petroli kutoka TPDC wakiwa katika banda hilo la Wizara ya Nishati na Madini katika Viwanja vya Ngongo katika Sherehe za Kilimo Nanen nane. 
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi
Hichi ni Kitengo cha Tansort ambacho kinashughulika na Uchimbaji wa Madini ya aina mbalimbali yanayopatikana Nchini Tanzania, Ukitembelea Banda hili utaweza kujionea Madini hayo hasa madini yale yanayopatikana Ukanda huu wa Kusini mwa Tanzania. 
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi
Picha ya Juu na Chini ni Baadhi ya Madini yanayopatikana Nchini Tanzania ambayo pia yapo katika Banda hili la Wizara ya nishati na Madini, Tembelea ujionee Neema tuliyonayo watanzania chini ya Ardhi yetu na ujifunze Vitu vingi zaidi katika Sekata hii ya Mafuta na Gesi. 
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi

Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi
Wizara ya Nishati na Madini iko katika Kukuletea Huduma karibu zaidi Hapa utaweza kujuzwa Kuhusiana na Elimu ya Vifaa vya Nishati Jua (Solor System) Hakika Wizara ya Nishati na Madini Imejipanga vilivyo katika Maonyesho haya zaidi ni kukuelimisha wewe Mwananchi Mkazi wa Lindi na Mtwara katika Huduma zilizochini ya wizara yao. Usisite kutembelea Banda lao lililopo katika viwanja hivyo vya Nane nane Mkoani Lindi. 
Wizara ya Nishati na Madini Nane nane Lindi

About Author

Advertisement

 
Top