Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZA MAZISHI YA BOBI KRISTINA HIZI HAPA, AZIKWA KARIBU NA MAMA YAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto wa Whtney Houston, Bobbi Kristina amefariki akiwa na umri wa miaka 22 huku sababu ya kifo chake kikitajwa kuwa ni Dawa za kulevya al...
Bobbi KristinaMtoto wa Whtney Houston, Bobbi Kristina amefariki akiwa na umri wa miaka 22 huku sababu ya kifo chake kikitajwa kuwa ni Dawa za kulevya alizokuwa akitumia....
Bobbi KristinaBobbi Kristina amezikwa pembeni ya kaburi la mama yake Whitney Houston August 3 katika makaburi ya Westfield yaliyopo New Jersey, Marekani.
Bobbi Kristinafamilia yake imeamua kuuza picha za marehemu Bobbi Kristina akiwa ndani ya jeneza kwa dola 100,000 sawa na zaidi ya 200,000,000 za Kitanzania.
Bobbi Kristina

About Author

Advertisement

 
Top