Unknown Unknown Author
Title: RAIS JAKAYA KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi w...
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AA[ISHWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AA[ISHWA
Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 25, 2015
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AA[ISHWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es Salaam
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AA[ISHWA
Rais Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Julai 25, 2015
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AA[ISHWA
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Kailima Ramadhani Kombwey baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa uchaguzi 
Picha na Ikulu

About Author

Advertisement

 
Top