Aliyekuwa mbunge wa kongwa na naibu spika wa bunge la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Bw J.Ndugai amemshushia kipigo mgombea mwenzake wakiwa jukwaan kujinadi na kusababisha kuanguka na kuzimia kisha kukimbizwa hospital ya wilaya ya kongwa.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.