Unknown Unknown Author
Title: Dr.SLAA AFUNGUKA RASMI JUU YA KUHAMA CHADEMA NA KWENDA CHAMA KINGINE....MAJIBU HAYA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundulisu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakun...
"HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundulisu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya CHADEMA, NCCR, NLD, CUF wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa UKAWA".
Dr. Wilbroad Slaa
DR. SLAA (Picha na Maktaba)
Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja.

Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA YULE MSHABIKI"

By. Dr. Wilbroad Slaa 
Katibu Mkuu CHADEMA

About Author

Advertisement

 
Top