Unknown Unknown Author
Title: DAVIDO AMSHUSHUA MEEK MIL KUHUSU BEEF YAKE NA DRAKE, CHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya beef kuibuka kati ya rap Drake na Meek Mill kisa kikiwa Drake kutohudhuria kwenye show ya Meek Mil ya nyumbani kwao Philadelphia n...
Baada ya beef kuibuka kati ya rap Drake na Meek Mill kisa kikiwa Drake kutohudhuria kwenye show ya Meek Mil ya nyumbani kwao Philadelphia na kuto twit chochote kuhusu album ya Meek Mil, kitendo ambacho kilimfanya Meek Mil kumdiss kwa kusema ‘Drake anaandikiwa Mashairi’ mengine yameibuka kutoka Nigeria.
Davido
Msanii Davido ambaye alifanya wimbo na Meek Mil ‘Fans Mi’ ameandika twitter ‘KARMA A BI***H …. Lol ” kitu ambacho kimetafsiriwa kana dongo kwa Meek Mil. Fahamu kuwa Meek Mil pia haku twit chochote kuhusu wimbo wa Davido na yeye. Promoter wa kampuni ya Davido aliandika hivi kuhusu issue hii
Post

About Author

Advertisement

 
Top