Kufuatia taarifa zilizo zagaa mtandaoni zikiripoti kifo cha kada wa CCM alieripotiwa kupigwa na aliekuwa naibu spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania J.Ndugai.
Lindiyetu.com imewasiliana na daktari wa hospitali ya kongwa Dr. Festo na amethibitisha ya kuwa mgonjwa yupo hai na anaendelea na matibabu kama kawaida.
Taarifa za kufikwa na umauti kwa mgonjwa huyo si zakweli, aliongeza daktari huyo.

Mgojwa akiwa Hospitalini akiendelea na Matibabu.