Rapper na mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa Sean Combs a.k.a P.Diddy ameteka vichwa vya habari tena baada ya kutoka kwa tangazo la perfume mpya ‘3AM’ lenye utata ambalo ameigiza na girlfriend wake Cassie.
Kwenye tangazo hilo la Tv ambalo wengine wamelipa hadhi ya ‘po*n’, Diddy na Cassie wanaonekana wakifanya vitendo visivyofaa kuonwa na watu wa chini ya umri wa miaka 18+.
Tazama screenshots za tangazo hilo:
HERE IS THE VIDEO::