Unknown Unknown Author
Title: NICKI MINAJ AVUNJA REKODI YA VEVO NA VIDEO YA "ANACONDA", YAFIKISHA WATAZAMAJI 19.6M NDANI YA SAA 24
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Video mpya ya Nicki Minaj iliyozungumziwa zaidi wiki hii ‘Anaconda’, imeweka rekodi mpya ya VEVO na kuwa ndio video iliyopata hits nyingi...
Nick Minaj
Video mpya ya Nicki Minaj iliyozungumziwa zaidi wiki hii ‘Anaconda’, imeweka rekodi mpya ya VEVO na kuwa ndio video iliyopata hits nyingi zaidi ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa.

VEVO imethibitisha kuwa video ya ‘Anaconda’ imepata views milioni 19.6 ndani ya saa 24 toka ilipowekwa mtandaoni Jumanne (August 19.

Kabla ya ‘Anaconda’, video ya Miley Cyrus, ‘Wrecking Ball’ ndio iliyokuwa imeshikilia rekodi ya VEVO kwa hits milioni 19.3 ndani ya saa 24 ilipotoka mwezi Septermber 2013.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top