Unknown Unknown Author
Title: KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA PICHA YA MAMA YAKE MZAZI KUEDITIWA NA KUWA CHAFU KAMA ZA KOMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema...
wema na mama yake
Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu Dengue ni Team tofauti na ile ya Wema, Ki ukweli Imesikitisha Wengi sana ....Baada ya Watu wengi kulaani hicho kitendo Mwenye Account hiyo ali delete picha lakini akawa imeshasambaa sana kwa watu ...

Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu:

BLOGU hii tuna kupa pole sana Wema...na tunawomba wasomaji wetu kupinga hii tabia ambayo ni kinyume kabisa na maadili kwani wazazi wetu ni zaidi ya INTERNET..

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top