BREAKING NEWS: MWIMBAJI NYOTA WA MUZIKI WA DANSI AFARIKI DUNIA


Mmoja wa waimbaji nyota wa muziki wa dansi waliowahi kutokea hapa nchini Amina Ngaluma amefariki dunia.

Muimbaji huyo alitamba na bendi za Tam Tam na Double M Sound, amefia nchini Thailand alipokuwa akiishi kikazi kwa muda mrefu

>>Times FM

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post