

Unajua jamaa yule sikujua kama ni tapeli kiasi kile alinikuta nafanya show snowie hotel bomang'ombe akanikubali sana na akaomba kwa my brother NGEREZA kunichukua ili anitoe,lakini cha ajabu nilikaa muda sana bila kuona msaada wake wowote, baadae akasema mimi na Ngereza tuchange tutoe milion 3" kwajili ya kazi zangu,eti na yeye atachangia milion 3 iwe sita,kumbe yule jamaa tapeli sana sijawahi ona asee,ndipo tulipo mpa hakuna alilofanya zaidi ya kutoa shiling 20000 kwa kila dj na kazi yangu haikufanya poa ndipo nikaanza kuhangaika mwenyewe,kiukweli namchukia sana yule mtu ni adui no moja katika mafanikio yangu,
>>Bongoclantz
Tags
HABARI ZA WASANII