Mama Salama Kikwete akiwahutubia wananchi wakazi wa Mji wa Mnazi Mmoja Lindi kuhusiana na Kukubaliana na Rasimu ya katiba ya Serikali Mbili. Mkutano huo ulifanyika tarehe 17/04/2014 katika viwanja vya Miembesita Mnazi mmoja.
Angalia Video ya Hutuba Hiyo Hapa
Tags
HABARI ZA KITAIFA
