DOWNLOAD BRAND NEW AUDIO:: SEREBUKA BY MWASITI

clip_image002Baada ya kimya cha muda mrefu kupita sasa hii ndo ngoma mpya ya Mwasiti aliyoitoa leo, pata nafasi ya kuusikiliza wimbo huu uliofanywa studio za Sorround Sound Records na Producer ni Tuddy Thomas.

Bonyeza play hapo chini kuusikiliza.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post