Licha ya zao la pamba kuwa tegemeo kubwa katika kukuza pato la taifa bado wakulima wa zao hilo kwa mikoa kumi na tano na wilaya arobaini na sita za Tanzania bara wameendelea kukumbana na vikwazo wakati wa uzalishaji, ambavyo ni pamoja na mfumo mbovu wa upatikanaji wa pembejeo, kupungua kwa rutuba katika ardhi pamoja na mashambulizi ya wadudu ambapo mkoa wa geita imeazimia kuliinua zao hilo ili wakulima waweze kulima kilimo chenye
SOURCE: ITV DAIMA
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.