Unknown Unknown Author
Title: SINTA AMVULIA UVIVU OMMY DIMPOZ, SOMA ALICHOKISEMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sinta ameandika haya yafuatayo katika website yake: MDOMO UMEMPONZA HUYU KIJANA "Daaah masikini akipata matako hulia mbwata, yaani ni...

clip_image002

Sinta ameandika haya yafuatayo katika website yake:
MDOMO UMEMPONZA HUYU KIJANA
"Daaah masikini akipata matako hulia mbwata, yaani nimesikitishwa na habari ya Ommy Dimpoz na kauli yake aliyotoa kwenye umma, hivi wewe Dimpozi unajua nini cha kuongea ktk public?? SMH usipende kuropoka ropoka tu hata kama wewe ukifa tutajuaje kwenye bank yako kuna kiasi gani acha kuongea

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top