PICHA ZA HALIMA MDEE NA WOLPER WAKIFANYA MAZOEZI YA NGUMI, SIKU CHACHE KABLA HAWAJAKUTANA ULINGONI

clip_image001Mbunge wa Kawe (Chandema), Halima Mdee ameanza maandalizi yake ya pambano la ngumi dhidi ya staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper.clip_image001[8]Pambano la wakali hao litafanyika Julai 7, siku ya Sabasaba katika Tamasha la Matumaini kwenye Uwanja we Taifa jijini Dar es Salaam.clip_image001[10]Mdee amekuwa akiendelea na mazoezi yak echini ya Mbunge wa CCM, Idd Azzan ambaye pia siku hiyo atapanda ulingoni kutoana jasho na mkali wa Bongo Movie Jacob Steven ‘JB’clip_image001[12]Katika tamasha hilo mwaka jana Wolper alionyesha uwezo kuliko Wema Sepetu katika pambano lao lililosisimua.clip_image001[14]Lakini Mdee ametamba kumpoteza Wolper katika pambano lao hilo la Julai 7. Mdee anaendelea na mazoezi mjini Dodoma, wakati Wolper anaendelea na mazoezi jijini Dar es Salaam.

CHANZO: SALEHJEMBE BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post