HII INASHANGAZA LAKINI NI KWELI: ATEMBEA NA NYUMBA YAKE KWA MIAKA 5 AKIIBEBA

clip_image001Anaitwa Liu Lingchao nimchina ambaye amekuwa akitembea kwa  zaidi ya miaka mitano sasa akiibeba nyumba yake mabegani na kuzunguka nayo kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post