BBA video imetoa video nyingine tena, ya Betty na Bolt wakifanya ngono bafuni kwenye bathtub. Hawa ni Waafrika, TV show inafanyika Afrika, watazamaji asilimia kubwa ni Waafrika, na ni show inayoongoza kwa umaarufu Afrika. Lakini cha ajabu, mastaa wetu wakipiga picha hata na vazi la kuogelea “swimsuit” hatukawii kupiga kelele kwamba si “maadili yetu.” Ni kweli tunajali maadili hivyo au unafiki tu? Kama tunajali maadili kiasi hicho, kwanini show kama BBA ambayo imegeuka kama porn show inaongoza kwa umaarufu Afrika?
Tags
BBA SEASON 7