CATHERINE MASUMBIGANA NDIYE UNIQUE MODEL 2012


Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.Washiriki waliongia tano bora.
Previous Post Next Post