Hawa ni Waandamanaji mjini Sao Paulo, Brazil walipoamua kuingia mitaani... na mikuki kupinga maisha magumu yanayo wakabili huku serikali ikitumia fedha nyingi kwa ajili ya kujenga viwanja maalumu kwa ajili ya Kombe la Dunia mwakani.
Chukua picha Hao ni Sao Paulo wameingia na Silaha bara barani na Still Hawaja chukulia nguvu kama tulivyozoe kuona Hapa Bongo, Unamaoni gani juu ya Hili?
Tags
HABARI KIMATAIFA