Siku za hivi karibuni baada ya mitandao mbalimbali kufunguka na kusema kwamba msanii wa kizazi kipya 'Diamond Platinum' anamahusiano na mtangazaji wa Dtv VJ "Penny"
Sasa jana kupitia instagram ya Diamond ilithibitisha kwamba ni wapenzi baada ya ku post picha na kuandika ujumbe huu #De 'MumOfMyBlood#Mama YourDiamond#YounPlatinum#YoungPrezident...........
Tags
HABARI ZA WASANII