Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abudul(diamond Platinum)akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha

Msanii diamond akiwapagawisha mashabiki wa Arusha waliouthuria katika show
Wakwanza kutoka kulia ni mkurugenzi wa mwandago investiment akifuatiwa na meneja masoko wa K-vant Gin Godluck kwayu,meneja wa sigara kanda ya kaskazini jina halijaweza fahamika mara moja akifuatiwa na meneja wa TBL nao waliudhuria katika show ya diamond platinum
Picha juu na chini ni warembo wa kituo cha radio 5 ambao ndio wathamini wa kuu wa show hiyo ya diamond plaatinum