Unknown Unknown Author
Title: EWURA, IMETANGAZA KUSHUKA ZAIDI KWA BEI ZA BIDHAA YA MAFUTA NCHINI TANZANIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA ,imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta nchini Tanzania kuanzia leo ...
MAFUTA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA,imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta nchini Tanzania kuanzia leo kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.

Nafuu hiyo ya Bei ilitanganzwa jana na mkurugenzi mkuu wa EWURA, Felix Ngalamgosi, akisema bei hizo za kikomoza bidhaa ya mafuta zitaanza kutumika leo nchi nzima.

Amesema bei za jumla na reja reja kwa aina zote za mafuta zimeshuka ikilinganishwa na bei katika toleo lililopita ambapo Petroli imepungua kwa shilingi 187 kwa lita sawa na asilimia 9.56 dizeli imepungua kwa sh. 139 kwa lita sawa na asilimia 7.53 na mafuta ya taa yamepungua kwa sh. 177 kwa lita sawa na asilimia 9.64.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top