Unknown Unknown Author
Title: WATANZANIA WATAKIWA KUONA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) NI MALI YA UMMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Bima la ...
banda la nic
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Bima la Taifa (NIC) katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa jijini Arushaa katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid, ,aliyeshika mice ni meneja wa shirika hilo Mkoa wa Arusha na Manyara Bw.Godwin Ole Kambaine
banda la nicMeneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)Mkoa wa Arusha na Manyara Bw.Godwin Ole Kambaine akitoa maelezo mafupi kuhusu shirika hilo kwa Mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa mara baada ya kutembelea banda hilo jijini Arusha katikati ni meneja masoko na utafiti wa shirika hilo kutoka makao makuu Bw.Elisante Maleko
banda la nicMdau aliyetembelea banda hilo la Shirika la Bima la Taifa (NIC) akiwa anauliza maswali yanayohusu shirikika hilo lengo nikutaka kufahamu zaidi shughuli za shirika,kushoto ni Afisa wa Bima Bi.Costancia Komanya
banda la nicMeneja masoko na utafiti wa shirika la Bima la Taifa (NIC) kutoka makao makuu Bw.Elisante Maleko akiwa anatoa ufafanuzi kwa mdau aliyefika katika banda lao ambapo alisema kuwa pamoja na bima nyingine pia wanatoa huduma ya bima ya matibabu (madecare) ambao ni mpango maalum wa shirika hilo kutoa matibabu kwa wananchi wa kada zote itakapotokea kaumwa na michango ni midogo
banda la nicMuonekano wa banda la shirika la Bima la Taifa (NIC) katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabaranijijini Arusha

Meneja masoko na utafiti wa shirika la Bima la Taifa (NIC) Bw.Elisante Maleko amewataka watanzania kuona shirika hilo ni mali yao kwa kuwa shirika hilo ni mali ya umma na michango ni midogo hivyo kila mwananchi kumudu

Aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wadau mbalimbali waliyotembelea banda lao katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid jijini Arusha

Bw.Maleko alisema kuwa shirika hilo lina bima ya matibabu amabayo ni mpango maalum wa shirika hilo kutoa kinga ya matibabu kwa wananchi wa kada zote itakapotokea kuumwa na michango ni midogo na kila mwananchi anamudu kujiunga na huduma zinapatikana nchi nzima

Pia alisema Bima za nyumba inakinga na majanga ya wizi,moto,tetemeko na mafuriko hivyo kuwataka wananchi kukatia nyumba zao bima


********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top