Unknown Unknown Author
Title: WAFAHAMU WASANII WA HIPHOP WENYE PESA ZAIDI DUNIANI, HIPHOP CASH KINGS
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dr Dre ametajwa kuwa msanii wa hiphop mwenye pesa zaidi duniani akishikilia namba moja na kumpita Puff Daddy aliyekuwa nafasi hio mwaka...
Dr Dre
Dr Dre ametajwa kuwa msanii wa hiphop mwenye pesa zaidi duniani akishikilia namba moja na kumpita Puff Daddy aliyekuwa nafasi hio mwaka jana. Dr Dre ametajwa kuwa na utajiri wa dola za Kimarekani milioni 620. Jay Z na Puff Daddy wameshikilia namba mbili wakiwa na dola milioni mbili 60 hii ikiwa hatua kubwa Jay z amepiga toka mwaka 2010.
  1. Dr. Dre – $620 million
  2. Jay Z – $60 million
  3. Diddy – $60 million
  4. Drake – $33 million
  5. Macklemore & Ryan Lewis – $32 million
  6. Kanye West – $30 million
  7. Birdman – $24 million
  8. Lil Wayne – $23 million
  9. Pharrell Williams – $22 million
  10. Eminem – $18 million
  11. Nicki Minaj – $14 million
  12. Wiz Khalifa – $13 million
  13. Pitbull – $12 million
  14. Snoop Dogg – $10 million
  15. Kendrick Lamar – $9 million
  16. Ludacris – $8 million
  17. Tech N9ne – $8 million
  18. Swizz Beatz – $8 million
  19. 50 Cent – $8 million
  20. Rick Ross – $7 million
  21. J. Cole – $7 million
  22. DJ Khaled – $7 million
  23. Lil Jon – $7 million
  24. Mac Miller – $7 million
********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top