Unknown Unknown Author
Title: IGGY AZALEA AITEKA LAS VEGAS
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii Iggy Azalea amepagawisha mashabiki katika tamasha maalumu lilofanyika huko mjini Las Vegas ,Msanii huyo aliwapagawisha mashabiki...
Iggi Zalea
Msanii Iggy Azalea amepagawisha mashabiki katika tamasha maalumu lilofanyika huko mjini Las Vegas,Msanii huyo aliwapagawisha mashabiki wake kwa style ya aina yake aliyokuwa akicheza jukwaani..
Mwanamuziki huyo ambaye ni raia wa Australia ambaye mpaka sasa ana umri wa miaka 24 alifanikiwa kucheza kwa style ya aina yake huku akiwa amevalia viatu virefu..
Iggi Zalea

********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top