Unknown Unknown Author
Title: USIKU WA MANGWEA MOROGORO, KIMENUKA (love concert)
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuelekea maadhimisho ya Tamasha maalum la kumkumbuka mfalme wa FREE STYLE Tanzania Marehemu Albert Mangwe, baadhi ya maeneo ya Mjini Mor...
Love Concert
Kuelekea maadhimisho ya Tamasha maalum la kumkumbuka mfalme wa FREE STYLE Tanzania Marehemu Albert Mangwe, baadhi ya maeneo ya Mjini Morogoro tayari kishanuka. Katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika siku ya TH 28 may, 2014 pale Samaki samaki Kihonda.

Akizungumza na mtupa taarifa hizi, Mratibu mtendaji wa tamasha hilo Kareem Omary KO amesema, maandalizi yameshakamilika na wanawaomba wadau kujitokeza kuonesha LOVE ya pamoja.

Kareem amesema walizungumza na familia na kwa pamoja wamebariki tukio hilo ambalo kabla ya ukumbini, litatanguliwa na ibada mbili ya Kanisani na nyumbani.

Baadhi ya wadau wa burudani mkoani Morogoro wamezungumza na kuunga mkono tukio hilo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top