Unknown Unknown Author
Title: PICHA:: HII NDIO NYUMBA YA MILELE YA MAREHEMU AMINA NGALUMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kaburi la marehemu Amina Ngaruma aliyezikwa leo maeneo ya Machimbo, Mnarani - Dar es salaam Mume wa marehemu Amina Ngaluma akisoma du...
Kaburi la Amina Ngaluma
Kaburi la marehemu Amina Ngaruma aliyezikwa leo maeneo ya Machimbo, Mnarani - Dar es salaam
Kaburi la Amina Ngaluma
Mume wa marehemu Amina Ngaluma akisoma dua kwa mkewe, ambae amezikwa leo hii katika maeneo ya Machimbo, Mnarani - Dar es salaam
Kaburi la Amina Ngaluma
Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukiingizwa kaburini, amezikwa makaburi ya Machimbo Mnarani Dar es salaam.
Msikiti aliposwaliwa Amina Ngaluma
Hapa ndipo aliposwaliwa marehemu Amina Ngaluma, waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko eneo la Machimbo Mnarani Jijini Dar es Salaam

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top