Unknown Unknown Author
Title: CHEKI VIDEO YA DAVIDO AKIOMBA RADHI MASHABIKI WAKE KWA KUVUNJIKA KWA SHOW YAKE NCHINI MAREKANI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ijumaa iliyopita Star wa Nigeria Davido alikuwa anatarajiwa kufanya show New York, Marekani show ambayo imeacha historia ya kupata watu nyom...

clip_image002Ijumaa iliyopita Star wa Nigeria Davido alikuwa anatarajiwa kufanya show New York, Marekani show ambayo imeacha historia ya kupata watu nyomi kiasi cha kusababisha hadi polisi wa New York kuingilia kati na kuifunga kwa sababu za kiusalama kutokana na wingi wa watu.clip_image002[5]Show ya New York ndio ilikuwa ya kwanza katika tour yake ya Marekani na Canada, na hiki ndicho alichokiandika Instagram baada ya show hiyo kuzuiwa na polisi.clip_image002[7]“Damn! My NY was too packed, police shut it down! The love and support that came out was overwhelming!!! I will be back! Really Sad!”

Tazama video (hapo chini) jinsi show hiyo ya New York ilivyojaa watu pamoja na Davido akiomba radhi mashabiki wake wa New York kwa kile kilichotokea.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top