NIJUZE NIJUZE Author
Title: VICENT KIGOSI ATOKA NA GATE KEEPER, TAZAMA KIONJO CHA FILAMU HIYO
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Kunako Kiwanda cha Filamu za Kitanzania inaletwa kwaki Filamu ya GATE KEEPER  ambayo inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wa Tatu tarehe 6 mwak...
Kunako Kiwanda cha Filamu za Kitanzania inaletwa kwaki Filamu ya GATE KEEPER ambayo inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wa Tatu tarehe 6 mwaka huu.
Gate Keeper Movie Clip
GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie, kutana na Vincent Kigosi (Ray), Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin na Wengine Wengi.

Tazama hapa chini Kionjo (Official Trailer) cha filamu hiyo.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top