NIJUZE NIJUZE Author
Title: BREAKING NEWS: MANJI ATOKA POLISI KWA GARI LA KUBEBEA WANGONJWA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji ni miongoni mwa Watu 65 waliotajwa na mk...
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji ni miongoni mwa Watu 65 waliotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya.
Yusuph ManjiManji ambaye alikwenda Polisi toka Alhamisi iliyopita, leo jioni ameonekana na Waandishi wa habari nje ya kituo cha Polisi kati Dar es salaam akichukuliwa na gari la Wagonjwa lenye namba za usajili za DFP na kuondoka nae.

Kwenye msafara huo ulioondoka gari lake aina ya Range Rover lilikuwepo pia lakini yeye alichukuliwa na gari la Wagonjwa lenye namba za usajili za DFP. 


Manji alikuwa amevaa fulana, suruali na viatu vya wazi vyote vya rangi nyeusi.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top